Posts

Showing posts from April, 2018

KVK CHOIR

Image
  Kundi hili nimaalumu kwa kazi ya Mungu Aliye hai. Staily ya uimbaji wetu ni vocal na mziki wa slow dance, kucheza kidogo Vocal zaidi ili ujumbe ufike zaidi kwa walengwa. Tunahudumu kwenye Semina, mikutano ya Injili na Ibadani. Tunatangaza Injili ya Kr isto Aliye Hai, karibu uimbe nasi wakati huu tunapo subiri ujio wa Yesu mara ya pili ambao ukaribu sana. Tukaimbe pamoja wimbo mpya wa Musa na Mwanakondoo. Moto wetu: Tufamilia moja. Zaburi 150:1-6 [1]Haleluya.  Msifuni Mungu katika patakatifu pake;  Msifuni katika anga la uweza wake. [2]Msifuni kwa matendo yake makuu;  Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake. [3]Msifuni kwa mvumo wa baragumu;  Msifuni kwa kinanda na kinubi; [4]Msifuni kwa matari na kucheza;  Msifuni kwa zeze na filimbi; [5]Msifuni kwa matoazi yaliayo;  Msifuni kwa matoazi yavumayo sana. [6]Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA.  Haleluya.

Vijana Kibangu tunawatakia Pasaka njema

Image
Mungu kwetu nikimbilio na nguvu msaada utakaoneka tele wakati wa mateso. Kwaya ya Vijana Kibangu tunawatakia Pasaka njema Kristo afufuke myoyoni mwenu. Kama nawewe unatuombea bofya "Amen.

Vijana wa KKKT Mabibo Farasi na Kibangu

Image
Picha ya pamoja na Vijana wa KKKT Mabibo Farasi siku ya Jumapili tareh15/04/018 Jeshi la KVK siku hiyo lilitua usharikani hapo kuongeza nguvu ya mapambano dhidi ya mwovu. Shetani ameshindwa Kristo ameinuliwa juu. Sema neno juu ya makamanda hawa. Amen

KATIKA IBADA

Image
katika Ibada kwaya ya Vijana ilitoa tangazo yakwamba Kristo Yuhai, Amefufuka

Mashujaa wa Yesu kwa ubora wao

Image
Mashujaa wa Yesu kwa ubora huo Jumapili tarehe 8 tuna washa Moto KKKT Matosa. Tuombee tukamwinue Yesu mfufuka. Kama unaungana nasi hata kwa maombi bofya Amen

SAFARINI KWENDA KKKT MATOSA

Image
Makamanda hawa leo walikua wanaelekea KKKT Matosa kutoa huduma. Asanten kwa maombi yenu

Vijana wa KKKT Mabibo Farasi na Kibangu

Image
Picha ya pamoja na Vijana wa KKKT Mabibo Farasi siku ya Jumapili tareh15/04/018 Jeshi la KVK siku hiyo lilitua usharikani hapo kuongeza nguvu ya mapambano dhidi ya mwovu. Shetani ameshindwa Kristo ameinuliwa juu. Sema neno juu ya makamanda hawa. Amen